changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Pipa ni yupi na mfunio ni yupi?Wamekuta wote wabovu. Pipa na mfuniko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pipa ni yupi na mfunio ni yupi?Wamekuta wote wabovu. Pipa na mfuniko
Kwani huwa mnayatakaRefa katunyima tuta
Wamejifunga kama ManulaWamejifunga
Mayele kama kawaida anapanga gwaride la wachezaji kujiandaa kutetema
Uache kiherehereWewe hapo unataka nikusaidie nini, sema!!
Uongoo ujaona boli babu kweli Mbna tumepiga tachi zakutosha Kisha wakubli wenyewe Kisha kujifunga kwa pressure tuliowapaJapo Yanga wanaongoza ila Leo hawana mchezo mzuri kama tuliouzoea
Hodi hapa.........Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Nbc na mabingwa wa muda wote nchini Tanzania[emoji1241] Young Africans S.C[emoji617] almaarufu Yanga leo tena wanashuka dimbani kukabiliana na maafande wa Ruvu shooting katika mwendelezo wa ligi kuu ya Nbc...
Mchezo huo utakuwa mgumu Kwa timu zote kwani Yanga[emoji617][emoji617] wanataka kushinda ili kuzidi kujikita kileleni mwa msimamo wa ligi ya Nbc huku Ruvu shooting[emoji1949][emoji1949] nao wakiitaji alama zote tatu ili kujinasua kutoka mkiani mwa ligi.
Mchezo huu utapigwa kunako dimba [emoji2522] la Benjamini Mkapa mnamo saa1.00 usiku
Je ni Wananchi[emoji617][emoji617] au Mafande[emoji1949][emoji1949] ndio watakao ondoka na kicheko[emoji1][emoji1] baada ya dakika 90?? Kuwa nami mwanzo paka mwisho wa kipute
"" Wachezaji wa timu zote mbili wapo uwanjani[emoji2522] wakipasha misuli[emoji1732][emoji3571][emoji125]ili kujiweka sawa[emoji91][emoji91]
'''""""""""'''''"""""''""”"”""""""'"""""""""
00" Kipenga Cha mwamuzi kimepulizwa kuashiria Mpira[emoji460][emoji460] umeanza hapa kadika Dimba[emoji2522] la Benjamini Mkapa katika
02" Hatari langoni mwa Yanga [emoji617] ila mpira unaenda nje inakuwa ni goal kick
05" Ruvu shooting [emoji1949][emoji1949] wameanza vizuri mchezo wa leo huku utulivu ukiwa mkubwa
10" Kennedy Musonda yupo chini akipatiwa matibabu baada ya kugongana na goalkeeper wa Ruvu shooting
15" Mayele anaachia shuti kali lakini linapanguliwa na Mlinda mlango wa Ruvu shooting inakuwa Kona ambayo haikuzaa matunda
25" Bado milango ni migumu kwa timu zote
32" Gooooal[emoji460] Yanga [emoji617] wanatangulia Kwa bao Moja baada ya beki Mpoki Mwakinyuke kujifunga
40" Mayeleeeee....... Golikipa wa Ruvu anaokoa inakuwa ni kona. Hii ni Kona ya 5 Kwa Yanga wakati Ruvu hawajapa kona paka sasa
42" Moloko anapaisha akiwa kwenye nafasi nzuri ya kufunga. What a miss!
45" Shambulizi lingine langoni mwa Ruvu shooting lakini mpira unakwenda nje.
HT" Naaam ni mapumziko katika uwanja[emoji2522] wa Benjamin Mkapa Wananchi [emoji617] wakiongoza kwa bao 1-0 dhidi ya Ruvu shooting.
Tukutane kipindi cha pili
View attachment 2493095View attachment 2493096
Hujanielewa. Yanga huwa inamchezo mzuri zaidi ya hivi inavyocheza leoUongoo ujaona boli babu kweli Mbna tumepiga tachi zakutosha Kisha wakubli wenyewe Kisha kujifunga kwa pressure tuliowapa
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Itakuwa unaangalia masaptasapta ila mpira unaaonyeshwa wananchi wameupiga mwingi ndiyo maana wana umiliki wa asilimia 73 kwa 27Japo Yanga wanaongoza ila Leo hawana mchezo mzuri kama tuliouzoea
Karibu Mwananchi[emoji617]Hodi hapa.........
Japo Yanga wanaongoza ila Leo hawana mchezo mzuri kama tuliouzoea
Na tutawapa bahasha wote maana tutawafunga wote pamoja na wao[emoji23][emoji23][emoji23]Akijifunga Manula kimya , wakijifunga wengine bahasha
Naona kama sekandi hafu kuna goals zaidi ya 2+Karibu Mwananchi[emoji617]
Ni kweli walichelewa kuchanganya. Wameanza kuchanganya dakika 15 za mwisho. Mpira waliocheza dakika za mwishoni ndio wangeanza napo ingekuwa habari tofauti mpaka sasaJapo Yanga wanaongoza ila Leo hawana mchezo mzuri kama tuliouzoea
Sahih kbsa kanali....Itakuwa unaangalia masaptasapta ila mpira unaaonyeshwa wananchi wameupiga mwingi ndiyo maana wana umiliki wa asilimia 73 kwa 27