FT: Ligi ya NBC: KMC 0 vs 1 Yanga S.C: Uwanja wa Benjamin Mkapa, 22/02/2023

FT: Ligi ya NBC: KMC 0 vs 1 Yanga S.C: Uwanja wa Benjamin Mkapa, 22/02/2023

Apo lilipigwa pira "utatoa utoi"

Shukuruni izo bahasha zimewafanya mpo apo mlipo saiv
Nyie bahasha zimewafanya mpo hapa[emoji116]
Screenshot_20230218-211423.jpg
 
Uto kujeni na hoja sio personal attack na lugha zisizokua na staha. iyo inaonesha ni kwa jinsi gani mlivyokuwa empty uwanjani hadi akili zenu [emoji1787][emoji1787]

Bahasha fc [emoji196]
 
Uto kujeni na hoja sio personal attack na lugha zisizokua na staha. iyo inaonesha ni kwa jinsi gani mlivyokuwa empty uwanjani hadi akili zenu [emoji1787][emoji1787]

Bahasha fc [emoji196]
Wazee wa kushangilia sare mpo?
 
Mpira ni mchezo wa makosa ila makosa yakifanywa dhidi ya Yanga ni bahasha. Ila makosa yakifanywa dhidi timu yenu ya Simba hamuimbi wimbo wa bahasha. Jana mchezaji wa Azam kafanya kosa la kupiga kichwa mpira golini kwake na kuingia wavuni kulikuwa na bahasha?
Bado unabishana na makolo, Hao wanapuuzwa siku hizi
 
Back
Top Bottom