Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Hata mm najiuliza.Hivi hizi nchi zingine mashabiki hua hakuna ? hawaruhusiwi? Au uchumi hoi sana?
Huogopi🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸
Tatizo muhindi mbahili.Wanasimba uyu sanawah ndo type ya mchezaji wa kusajili.
Mhasibu unateseka ukiwa wapi vile😂Wauweeeeeeeeeeeeee
Pacome kashafanya yakee
Simu yako inahifadhi vitu kama hivi ?
Bado hamjasemaMidomo mnooo yani mna mdomo mnoo...oohh tutawapiga nje ndani....yani wao wamelala??
Ngoja tuoneBado hamjasema