Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 36,899
- 73,370
Tukae na Masandawana sijui?? Ila wote kama nimewachukia...Simba tupo na mamelodi au tukae wap wakwetu?
Wapambane na hali zao tuu wa kwetu
Tukae na Masandawana sijui?? Ila wote kama nimewachukia...Simba tupo na mamelodi au tukae wap wakwetu?
Ubuntu botho😆Tukae na Masandawana sijui?? Ila wote kama nimewachukia...
Wapambane na hali zao tuu wa kwetu
Kwa hiyo?Mamelodi anacheza mechi saa tisa . Kwa saa za africa kusini
Kwa hiyo?