joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 19,513
- 41,719
Pyramid wamechomoa,kimasihala anabeba hii.
Hayo makombe yote mawili ya CACL na CAFCC yamevinjari Sana uarabuni (Africa Kaskazini) kwa misimu mingi ya kufululiza.Mamelodi wanaonekana kulitaka kombe zaidi ya Pyramids ambao wanaonekana kukosa uzoefu wa hatua hizi na pia wachezaji kucheza kwa ubinafsi.
Hamtupi majini tena?Mie namshangilia Mayele ( pyramids) japo
🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸
Acha kubeti utajiua kwa preshaMamelodi bure kabisaaa
Kesho kam kauwaaaaaaa mtapigwa kipigo cha mbwakoko😁😁😁!!Hamtupi majini tena?
Kmmk nani amebetAcha kubeti utajiua kwa presha
Unaenda kutafuta sare? Umesahau al ahly?Aggrigate ya 1 1 inawabeba pyramids fc nyumbani wanaenda kutafuta sare tu.