FT | Mamelodi 1-1 Pyramids | Fainali ya CCL - 1st Leg | Loftus Versfeld | 24.05.2025

FT | Mamelodi 1-1 Pyramids | Fainali ya CCL - 1st Leg | Loftus Versfeld | 24.05.2025

Ubora wa uwanja huonekana mvua ikinyesha, BWM ni shamba la mpunga inapokuja swala la mvua
Kwa muktadha huu, CAF haitakubali mechi za ufunguzi na fainali za CHAN zichezwe BWM. TFF waandae panadol kupunguza maumivu
 
Pyramid hawajafika hii stage kwa bahati mbaya, yaani leo Mamelod hawachezi kabisa ule mpira wao wa kila siku na jamaa dk hizi za mwishoni wameuchukua mchezo.
 
Na sisi timu zetu ziruhusiwe kucheza na waarabu saa tisa.

Rais wa caf bosi wa mamelodi aache upendeleo kwa timu yake

Mbona timu zingine zinakatazwa muda huo wa jua kali.
Tofauti ni saa 1 mbele kwa Tanzania.
Saa 9 kwao ni saa 10 kwetu. Kwani hatujawahi kucheza mechi saa 10 na hao waarabu?
 
Angalia hiyo defence line ya mamelody haivurugiki halafu Kuna Alliende anaongezeka hapo kwenye dimba la kati 6 safi sana
Mamelody wanaweza kubeba ndoo na itakuwa poa sana
 
Pyramid hawajafika hii stage kwa bahati mbaya, yaani leo Mamelod hawachezi kabisa ule mpira wao wa kila siku na jamaa dk hizi za mwishoni wameuchukua mchezo.
Game ya marudiano itakuwa hot sana, hakuna upinzani/ushundani mkali ambao umeoneshwa na hawa Mamelod Sundowns, I bet these boyd Pyramid Fc to claim the Winner of this tournament.

After this results kule Egypt anaenda kusokomezwa haswa.

Mark this post.
 
Chini ya huyu kocha mamelody wanacheza objective football wamecheza hivi tangu makundi
Niliona mechi yao na Al Ahly zote mbili walicheza mpira wao wa kila siku nilio uzoea ila leo tofauti kabisa. Sizani kama wamebadilisha style leo wamezidiwa.
 
Back
Top Bottom