Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,074
- 27,490
Lakini wana adavantage tayari ya goli la ugenini
Lakini wana adavantage tayari ya goli la ugenini
Huku clab zingine zikiishia makunduKwa nilivyoitizama mechi kati ya Mamelodi na Pyramid leo ukweli ni kwamba kiwango cha mchezo wa soka katika Afrika kimeshuka sana, yaani mchezo wa fainali unachezwa kama mcheza wa kirafiki tu.
Klabu yoyote ya Afrika ikicheza kwenye kombe la dunia la vilabu inaweza ikabugizwa kapu la magoli.
Mamelodi wanacheza utafikiri wanaongoza kwa magoli manne na baadae wanafanya uzembe na kutoa sare na timu ya Pyramid ambayo nayo ni timu ya kawaida sana.
Kumbe kushuka kwa kiwango cha soka barani Afrika ndio chanzo cha vilabu vya Tanzania kufaulu kutinga kwenye fainali ya kombe la shirikisho Afrika.
Wakafie hukoMamelody Bingwa
All the best PyramidsAll the best Mamelodi
Kila la heri PyramidsMeme lord bingwa
Sawaa, nami nasimama na mafaraoNasimama na Mamelody
Huenda kuna wazuri zaidi yakeIla li Mayele ni li striker la ukweli..
Uto wasinge mpa jini la mguu kipindi kile asingekaa benchi muda mrf angekua mfungaji bora...
🤣 🤣 🤣 🤣
Mamelodi wa nini! Twende na mafarao bwanaSimba tupo na mamelodi au tukae wap wakwetu?
Wamekutana na wanaojua mpira, Pyramids sio simbaMamelodi kule nyuma wanafanya makosa mengi ya kijinga
Unaishi wapi mkuu? Mbona mechi imeanza kumi kamili.Mechi imeanza saa tisa pale loftus stadium, je lini umewai kuona mechi ya caf imeanza saa tisa kwa mkapa?
Hata hivyo waliyoishia makundi na aliyefika fainali na kufungwa wote hawana kombe.Huku clab zingine zikiishia makundu