Saa 9 ya south ni saa ngapi ya Tz?
Kila nchi ina saa tisa yake.
Ratiba ya mpira huwa inawekwa kwa kuzingatia nchi inayochezwa huo mpira..
Inakuaje mechi ya CAF iruhusiwe kuanza saa tisa kwenye uwanja wa mamelodi ila mechi ya CAF ikatazwe kuanza saa tisa kwenye uwanja wa simba ?