FT | Mamelodi 1-1 Pyramids | Fainali ya CCL - 1st Leg | Loftus Versfeld | 24.05.2025

Tofauti ni saa 1 mbele kwa Tanzania.
Saa 9 kwao ni saa 10 kwetu. Kwani hatujawahi kucheza mechi saa 10 na hao waarabu?

Mjinga kweli. NI KILAZA SANA SIJAWAI KUONA na ninaamini ulifeli shule sana wewe.

Kwa hiyo nchi ambazo saa 10 jioni ya Tanzania ni sawa na saa tisa alfajiri kwenye nchi zao zinapaswa ziruhusiwe kucheza mechi saa 9 alfajiri kwa sababu muda huo ni saa 10 jioni kwa Tanzania ?
 
Mjinga ni baba na mama yako.
Nimekujibu saa 9 ya south Africa, je ni alfajiri south now?
Hiyo mechi imeanza saa ngapi. Punguza stress kenge wewe
 
Mechi imeanza saa tisa pale loftus stadium, je lini umewai kuona mechi ya caf imeanza saa tisa kwa mkapa?
 
Back
Top Bottom