Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,611
- 5,009
Unaangalia mpira huu huu tunao uangalia sisi au una mpira wako😊😂😂Yanga wanacheza kibingwa ,hawa Mamolod wameshambwela mapema
inayo piga pasi 3 ina goli ngapiTimu inashindwa kupigiana hata pasi 3 kwa usahihi ajabu kabisa.
Wanawapandisha hadhi ila hawana hiyo hadhiHawa mamelod wa kawaida sana
had mda huu umewafunga Goli ngapiHawa mamelod wa kawaida sana
Timing kumchinja kobe kama mechi ya Barca na Chelsea ngoja tuone.Unaangalia mpira huu huu tunao uangalia sisi au una mpira wako😊😂😂
Mamelod atachana mkeka
Ndio tulivyo wanadamu ukifanya mema 💯 ukija kosea tunasahau yote mazuri uliofanya😀Mistake. Kafanya mengi mazuri na mpaka sasa Yanga haijafungwa ana mchango mkubwa mno.
Goli lipo mzeeMamelod atachana mkeka