Mkuu,
Ukizaaa mtoto mwenye kichwa Kama icho utafanyaje??!
williams anashika penati ila mtani leo umeonewa unafiki dhambiMatuta....!
Hayana Mwenyewe...!
Hakika amecheza vizuri sana, lile goli lingekubaliwa lingekuwa goli bora sana.Kwangu Man of the match ni Azizi Ki
Ni kweli wamewaonea kabisa. Ila kama ipo ipo mkuu.Mkuu Hiyo nilikuwa natania soma Comment #958..
Hilo goli wameonewa
Amemkosa Pacome tu. Jamaa wangechanganyikiwaKwangu Man of the match ni Azizi Ki
Mzize ndio alitakiwa amalize mtanange 90 minutesMamelodi kipindi cha kwanza walitumia nguvu kubwa kutafuta matokeo.
Sasa wamechoka.
Yanga mkiendelea kukaza mnapata matokeo
akitaka kuuzwa tuandamaneMungu wangu tunakushukuru kwa Djigui Diarra, Amen.
Wewe ndio umekosoa...mimi naheshim uumbaj wa Mungu...kwanza kikoje kwani?Mkuu,
Ukizaaa mtoto mwenye kichwa Kama icho utafanyaje??!