Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Sawa mkuuWewe ndio umekosoa...mimi naheshim uumbaj wa Mungu...kwanza kikoje kwani?
Lile goli lilikuwa kali alibutua kisawasawaHakika amecheza vizuri sana, lile goli lingekubaliwa lingekuwa goli bora sana.
Mi sipo...naheshim uumbaji wa Mungunilijisemea hivi mwenyewe 🤣
We ndo umeliwa 5.2m?Nimepata mvurugiko wa tumbo🥺
HakikaMatuta....!
Hayana Mwenyewe...!
wasauzi na mpira wapi na wapi? yao muziki na partyHawa wanabebwa sana aiseee🤣😂😁😁😁
Tulia bhana, Yanga anaenda Semi final.Nimepata mvurugiko wa tumbo[emoji3064]
Makipa wote wawili ndio wataamua mechiiiHapa sasa Diara ndo ataamua mechi.
Wakipita mashabiki wa Simba tutaangalia mechi kwa presha mno.
Msimu huu Kazi tunayo tusipopita.Hii mechi imeisha isha kwa Yanga kuvuka
Ngoja tuendelee na mechi yetu kule Cairo
Tulia basi banaHili likipa lao ndio Kwisha habari yetu, na wachezaji wetu huwa wanatetemeka
Sasa backline ina almost wachezaji 8? Unadhani ni rahisi? 75% ya team ina defend na kutegemea counter. Mechi lazima iwe ngumuSundown washakata tamaa. Hiyo backline ya yanga hata bayern kwa leo wasingefungua....
Yanga washindwe wenyewe.
Wanatolewaa hawa masandawana.Sema penalty hawatoboi hawa masambwanda