mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,230
- 9,889
Kwenye list ya CAF Kumi Bora kuna timu yoyote Africa Mashabiki kama sio Simba? Mkumbushe hiyo. Wao kila siku kuokoteza vichannel vya ajabu kuonyesha ni wakubwa. Hizi goli kuendelea kushabikia ni ulimbukeni wao. Walijibiwa kuifunga Simba goli hizo hakuwafanyi wao kuwa Wakubwa. (Rais wao).Sasa analazimisha kama sisi hatujawahi kumfunga 5 wakati kuna 6 pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuuliza tena uliangalia mpira?Nimekuuliza toka lini kwenye own goal kukawa na assist?
kocha wenu kaweka kikosi chote kasoro bokoHii nayo ni mechi ya kuanzisha uzi?
Mechi ya mazoezi.kocha wenu kaweka kikosi chote kasoro boko
Kwenye rank ya CAF tu pale 10 bora inajulikana Simba ipo, mashabiki bora Africa tupo ,hawa majamaa wabishi tu ,hiyo 5-1 bado hawaamini kama waliwafunga Simba wakati ni kitu cha kawaida kwetu, wanasahau tulimfunga Horoya 7-0 kwa mkapaKwenye list ya CAF Kumi Bora kuna timu yoyote Africa Mashabiki kama sio Simba? Mkumbushe hiyo. Wao kila siku kuokoteza vichannel vya ajabu kuonyesha ni wakubwa. Hizi goli kuendelea kushabikia ni ulimbukeni wao. Walijibiwa kuifunga Simba goli hizo hakuwafanyi wao kuwa Wakubwa. (Rais wao).
Nimeangalia, mbali na kuangalia ninaujua na sheria zake nazijua. Own goal haina assist.Nakuuliza tena uliangalia mpira?
KJU!! pumbavuuuuKwa kwwli kju wamewapa magoli simba....hii simba mkoromboko kweli kwwli
hao madogo mliosajili wataozea benchiMechi ya mazoezi.
Haya ni mashindano, na ukishashiriki upo serious, ushiriki ndo kipimo kinachobaki katika historia. Yanga ikichukua kombe historia itabaki kuwa Yanga ndo mshindi wa kombe la mapiduzi.Kutaka kombe kunaonekana kwa kuangalia kiwango cha seriousness.
Hawa wa leo wana physic nzuri,man to man battle wapo vizuri na wanafika,wale wa jana ni walaini wanacheza mpira soft touch sana..Hivi wale wapemba waliokipiga na yanga jana na hawa jku wepi wakali
kwa mtazamo wangu naona jku wapo vizuri zaidi kuliko wa jana wale
Nimeuliza kwa msisitizo sio kwasababu nakataa kuwa OG haina assist ila ni mechanism ya goli lilivyo fungwa.Nimeangalia, mbali na kuangalia ninaujua na sheria zake nazijua. Own goal haina assist.
5-1 kitu gani?Ukumbuke pia Yanga keshakula 5-0 na 6-0 kutoka kwa Mnyama
Cha msingi bado ni Yanga hiyo hiyo ndio ilifungwa 5-0 achilia mbali zile 6-0Chamsingi bado ni msimu huu
Wewe ni kizazi cha Azam TV,kwa taarifa yako Shomari Kapombe alikuwepo kwenye hiyo mechi mliyokula 5-0Kolo mnalazimisha furaha
Hivi utakubali leo urudi utotoni?
Tuangalie msimu huu yanga 5 simba 1
Kwanza katika hiyo match sidhani kama kuna mchezaji wa yanga ambaye alikuwepo bado mpaka sasa yupo the same to koloz
Basi una macho lakini huoni, mpira ulishavuka mstari kabla hata ya Baleke kuucheza. Katazame tena kwa umakinNimeuliza kwa msisitizo sio kwasababu nakataa kuwa OG haina assist ila ni mechanism ya goli lilivyo fungwa.
Point yangu ni kuwa kwa jinsi nilivyoona mimi lile goli halijafungwa na mpinzani bali Baleke ndio katupia.
Sababu za wengi kudai ni goli la kujifunga zimetokana na maoni ya mtangazaji.
Lakini kama ungekuwa unaangalia mpira uliokuwa unatangazwa katika lugha ya kiingereza usingesikia.
Ule mpira ulidunda katikati ya mstari na Baleke ndio alikuja kuumalizia
Ni mashindano ya kisiasa, ingekuwa hizi timu za Tanzania zinauwezo wa kukataa zingekataa kushiriki. Na ndio maana kuonesha hayana thamani kwao, wameweka wachezaji wasiopewa nafasi + watoto.Haya ni mashindano, na ukishashiriki upo serious, ushiriki ndo kipimo kinachobaki katika historia. Yanga ikichukua kombe historia itabaki kuwa Yanga ndo mshindi wa kombe la mapiduzi.
Mbinu na malengo ya kocha ndo huamua kina nani wacheze. Hata ligi kocha anaweza amua kutumia baadhi ya michezo kuchezesha watoto.Ni mashindano ya kisiasa, ingekuwa hizi timu za Tanzania zinauwezo wa kukataa zingekataa kushiriki. Na ndio maana kuonesha hayana thamani kwao, wameweka wachezaji wasiopewa nafasi + watoto.
Wakati huo wanacheza pekupeku na kifua wazi, refa amevaa kaunda suti na filimbi ni mluzi wa refa. Magoli ya miti, hakuna offside wala penalty mkuu ndio unatuletea habari zake. We kijana wa Rage vipi bwana?Cha msingi bado ni Yanga hiyo hiyo ndio ilifungwa 5-0 achilia mbali zile 6-0