Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ulimfunga horoya sisi tulimfunga 5imba kila mtu na demu wakeKwenye rank ya CAF tu pale 10 bora inajulikana Simba ipo, mashabiki bora Africa tupo ,hawa majamaa wabishi tu ,hiyo 5-1 bado hawaamini kama waliwafunga Simba wakati ni kitu cha kawaida kwetu, wanasahau tulimfunga Horoya 7-0 kwa mkapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga alipigwa 5-0 na Simba mwaka 2012. Juzi tu hapoWakati huo wanacheza pekupeku na kifua wazi, refa amevaa kaunda suti na filimbi ni mluzi wa refa. Magoli ya miti, hakuna offside wala penalty mkuu ndio unatuletea habari zake. We kijana wa Rage vipi bwana?
Wewe ni kizazi kilichoshawishiwa kupenda mpira na Manara, wakati utopolo wanapigwa 5-0 Kapombe alicheza mkoba na bado yupo Simba, achilia mbali zile 4-1ambazo akina Mzamiru, Miquisone,Chama,Manula na wengine bado wapo,nilidhani kuwa namba ya wenye akili imeongezeka kutoka wawiliWakati huo wanacheza pekupeku na kifua wazi, refa amevaa kaunda suti na filimbi ni mluzi wa refa. Magoli ya miti, hakuna offside wala penalty mkuu ndio unatuletea habari zake. We kijana wa Rage vipi bwana?
Umeidharau sana Timu yetu.Mechi inachezwa saa 2 na robo usiku, je tutegemee kumuona saido, Boco na Bareke? au wataweka kikosi B? Teh ntawaletea updates zote.
Kupanga kikosi dhaifu sio mbinu bali ni kudharau.Mbinu na malengo ya kocha ndo huamua kina nani wacheze. Hata ligi kocha anaweza amua kutumia baadhi ya michezo kuchezesha watoto.
Hakuna timu inayosajili na kuhifadhi wachezaji dhaifu bali Kuna wachezaji kulingana na mipango na mbinu za mechi za msimu husika. Mashindano yote hujulikana kabla.Kupanga kikosi dhaifu sio mbinu bali ni kudharau.
Kila timu inayoshirjki inalitaka kombe vinginevyo isingeshiriki!Hili kombe simba wanalitaka. Naona hadi Benchikha anasimama kutoa maelekezo huku akipanga kikosi cha kazi. Jana Gamondi alikuwa kakaa tu chini muda wote huku akikunja zake nne kama mtazamaji tu huku akipanga chipukizi wa kutosha.
Gamondi pia analitaka sana kombe! Akilikosa asje kusema mbichi hizo! Hakuna timu iliyolazimishwa kushiriki! Msiandae visingizio mapema!Sijafananisha makocha bali nimelinganisha u-serious baina wa Yanga na Simba.
Simba wapo serious na haya mashindano, Benchikha analitaka kombe la Mapinduzi.
Unazungumzia yanga hii iliyolambwa 3 bila kwenye caf champions league au? Pole Sana!Timu gani kila mechi lazima iruhusu goli! Yaani wanashindwa kujifunza kwa kaka yao Yanga! Jana kampiga mtu mkono, na bado aliondoka na clean sheet!!
Soka la kukaa na Mpira ni la kizamani! Siku hizo ni one touch!Makolo wameanza kulia
Beki zinakabia macho Miquisson hajiamini kila mpira akipata hawezi ku dribble anatoa back pass timu inacheza kama wachezaji wanaogopa kukaa na mpira matatizo yale yale makosa yale yale magoli yale yale..[emoji23][emoji23][emoji23]
Maskini akipata matako hulia mbwata!! Mji mzima làzima ujue kuwa Leo maskini kapata!
Mpira ulifikaje karibu na goli hadi wajifunge? Msako wa kueleweka ndio uliosababisha wajifunge!Kama sio kujifunga lile goal la pili hawa p?aka wangekiona leo
Gamondi kaamua kuwapangia digidigi stars, huku Benchikha akipanga full mkoko.Gamondi pia analitaka sana kombe! Akilikosa asje kusema mbichi hizo! Hakuna timu iliyolazimishwa kushiriki! Msiandae visingizio mapema!
Haya mashindano yapo kimkakati wa kiserikali ni ngumu timu za bongo kuzigomea ila kinachofanyika kwa kocha wa Yanga ni kuwapumzisha wachezaji wake wa muhimu na kuwapanga watoto na wachezaji wasiopata nafasi ili nao waoneshe uwezo wao.Kila timu inayoshirjki inalitaka kombe vinginevyo isingeshiriki!
Wachezaji wanatofautiana ubora na uwezo, na unapofanya usajili hujui kama mchezaji atakupa kile ulichokitegemea kutoka kwake. Ila baada ya kumsajili unakuja kuona mchezaji hana ubora na kiwango cha kuchezea kikosi cha kwanza, na wengine unakuja kuona hata kuingia sub hawafit, hao ndio wachezaji wanaingia katika kikosi dhaifu mbali na hilo wameongeza na lundo la wachezaji wanaochezea Yanga B. Hakuna mchezaji anayesajiliwa ili aje achezee tu Mapinduzi cup.Hakuna timu inayosajili na kuhifadhi wachezaji dhaifu bali Kuna wachezaji kulingana na mipango na mbinu za mechi za msimu husika. Mashindano yote hujulikana kabla.
Gamondi kaamua kuwapangia digidigi stars, huku Benchikha akipanga full mkoko.
Usajili hufanyika kwa kuzingatia bajeti na aina ya mashindano yanayotegemewa katika msimu husika ikiwemo kombe la mapinduzi. Kikosi B ni kikosi cha akiba si kikosi cha mashindano yasiyo na umuhimu sababu mashindano yote ni muhimu na yapo kwenye mipango ya vilabu tangu mwanzo wa msimu.Wachezaji wanatofautiana ubora na uwezo, na unapofanya usajili hujui kama mchezaji atakupa kile ulichokitegemea kutoka kwake. Ila baada ya kumsajili unakuja kuona mchezaji hana ubora na kiwango cha kuchezea kikosi cha kwanza, na wengine unakuja kuona hata kuingia sub hawafit, hao ndio wachezaji wanaingia katika kikosi dhaifu mbali na hilo wameongeza na lundo la wachezaji wanaochezea Yanga B. Hakuna mchezaji anayesajiliwa ili aje achezee tu Mapinduzi cup.
Kumbe ndio maana ana wapanga vitoto kwenye michuano ya MapinduziKi Gamondi chenu kinashika nafasi ya 174 ya ukocha Bora Africa! Tafakari