Sharamdala
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 3,558
- 6,538
MtaniiiiiiiiiiiππππππSio mimi dada labda washamba wa michezo..
Ningeshangaa nisingekuta huu ujumbe[emoji23][emoji23],ishakuwa misimu ya Kiswahili hiiIla misahau Yanga ni bingwa wa kutembeza bahasha!
Tumevuliwa nguo mamaΓ©Mkuu pole, sisi simba tutawambia nn watu aisee.
Nipo miguu juu nachat hapa mkuu nimerelax nashushia ka wine kangu..Relax mkuu
FactsFaisal alisepa na gundu lake yule mtoto
Nipoooooo!! Yaani raha niliyonayo acha kabisaπππππππUmemuona Atoto na Evelyn Salt
Sheme hapo vipi?π70β 0-2
kwanza uwanja wenyewe umejaa mabango ya Qnet, mabeki wa Marumo wanacheza kama wamepewa bahasha