Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
- Thread starter
- #761
Endapo Yanga akitoka na clean sheet basi itakuwa mechi ya 7 mfululizo bila kuruhusu goli...bravo🔥🔥
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuuh haya banaScara,Kalpana, Greatest of all time & company
View attachment 2625605
Mwanamke hakui kwa mwanamme ulitoka ubavuni mwangu😂😂Kila siku unanidogosha tu, hadi tuchukue huu ubingwa nitakuwa mjukuu wako walah 🤣🤣🤣
huo ni ushamba kama ni njia nyepesi kapita simba kuanzia hatua za mwanzo mpaka kwenye makundi lakini ndio hivyo timu bovuKweli tens bahat ina nfs kubwa sn, we si unaona njia alopitia yanga hd kufika fainali. Ni nyepesi sn pia shirikisho msimu huu haukua na timu ngumu. Lkn pia ukitoa bht yanga msimu huu wapo vzr sn yn kikosi imara kweli.
Yay. Hata msg yuko huko in personIla misahau Yanga ni bingwa wa kutembeza bahasha!
Safi,bila shaka kanashuka vizuri maana we ni Mwananchi (wa Tanzania 🤣 usinielewe vibaya)Nipo miguu juu nachat hapa mkuu nimerelax nashushia ka wine kangu..
Nimefatilia comments naona hujapenda aniSio mimi dada labda washamba wa michezo..
Ukinilipa na lile deni langu sasa ndio nitaenjoy vizuri.Enjoy mdogo angu🤣🤣🤣
CHUKUA SUMUdah! Hadi moyo unauma sana wakuu
Jasho limejaa, pressure inapanda naisikia, hamu ya kula inakataa, kichwa cha moto, kwenye kiti nimeshindwa kukaa, hasira nyingi, mapigo ya moyo yanaongezeka kwa kasi, tumbo linauma, joints za mwili zinauma, mwili unakosa nguvu,kila ninaemuona namuona ka ananikera. Nakaribia kufaaaaaaaaaaaa.....!!!
MSAADA PLEASE MAANA NAWEZA HATA KUFA KISA USHINDI WA YANGA
malumo ataonewa bure anacheza na bingwa wa ngao,bingwa wa ligi, bingwa ajae wa azam federation na shirikishoHiyo mi Marumo ndo maaana inashuka daraja..timu inayohenyeshwa na Ihefu inawatoa jasho...ptuhhhhh
Aahaaaaaaadah! Hadi moyo unauma sana wakuu
Jasho limejaa, pressure inapanda naisikia, hamu ya kula inakataa, kichwa cha moto, kwenye kiti nimeshindwa kukaa, hasira nyingi, mapigo ya moyo yanaongezeka kwa kasi, tumbo linauma, joints za mwili zinauma, mwili unakosa nguvu,kila ninaemuona namuona ka ananikera. Nakaribia kufaaaaaaaaaaaa.....!!!
MSAADA PLEASE MAANA NAWEZA HATA KUFA KISA USHINDI WA YANGA
Mkuu, nimewahi kuishi Sea View street Upanga nyumba ya tatu kutoka kwa husein mwinyi na umeme ulikua unakatika, labda mjini unaposemea wewe ni New York ndo haukatikiUnalalmeme ukikatwa
Kawaida mbona?? Ushabiki wa Simba na Yanga ndo unaona leo?? Mimi hata kama nawakubali sitasema hapa ng'ooooooooooNimefatilia comments naona hujapenda ani
Kuna mwaka pia alitanguliza za hivyo 3 dhidi ya inter Milan kwenye game ambayo iliisha 4:3Mayele anafanya nimkumbuke Gareth Bale kuna mwaka alitanguliza kama hivi dhidi ya Barca[emoji1787][emoji1787]