FT: Marumo Gallants 1 - 2 Young Africans | CAF Confederation Cup 17.05.2023

Simba iamke kutokana na mafanikio ya Yanga, ila wakichukulia kawaida watapotezwa mazima.
 
Yaani I had no idea🀣

Nasikia makelele tu huko nje
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wakishua leo utaambulia maumivu kila kona kama namuona Benzema akitupigia mtu za kutosha
 
Sasa hilo ni kombe???
Yanga ikikutana na timu nzuri haitoboi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…