Fountain of Youth
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 1,026
- 2,299
Kesho iwe holiday[emoji23][emoji169][emoji172]kwan kunalo nen wawakilishi wa taifa wamefanya vyemaWoyooooooooooooo
Yanga kesho kuamka saa ngapi?
Kwani huwezi kufurahia ushindi wako bila kutusi wengine?Tuonane final, makolo chagueni timu yakushangilia tena
WANANCHIIIIII III IIIKila la kherii wananchiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kwa sauti ya Bantu Lady Beeb
Kabisaaa na Evelyn Salt atakuwa coordinator3some zitakuepo????
Hii ndio Yanga. Tuzidi kujinenepea tu kwa kweli. π€£π€£πππππNilikua nasubiri ushindi..wallahi YANGAAAAAAππππ
Raha zipo kwenye msosi tu πBado huzijui raha lakini
Kabla ya mechi mlisema yanga anafungwa 3 -0Mwisho wa siku mmepiga bomu mochwareeeeee...
Imeisha hiyooo
Hatuamki kesho Yanga wote, tunaletewa chai kitandani. Tutaamka wakati wa lunch...Woyooooooooooooo
Yanga kesho kuamka saa ngapi?
Daaa! ππππππRefa kanogewa, kapokea pasi ya Yanga
Hakika..majirani waumie tararibuππππππHii ndio Yanga. Tuzidi kujinenepea tu kwa kweli. π€£π€£