FT: Marumo Gallants 1 - 2 Young Africans | CAF Confederation Cup 17.05.2023

Kabla ya mechi mlisema yanga anafungwa 3 -0
Sijawahi kuwa mtabiri mimi..huo ni upumbavu..nilisema Yanga ikiruhusu kufungwa bao zote mbili itakua upuuzi..haiwezekani utoke kwenu na mbili ukafungwe zote tena na marumo duuh
 
kwenye kikosi kizuri hapo ndio umeongea kwenye bahati hakuna kitu kama hicho
Vyotd vinaenda pamoja mkuu. Mnaweza kua mna kikosi kizur lkn mkakosa bahati mf man city ambavyo hana bahati na uefa
 
Hatuamki kesho Yanga wote, tunaletewa chai kitandani. Tutaamka wakati wa lunch...
Na madunduka wote wakikutana na Yanga wawaamkie πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwa lipi? Kwa kupiga timubovu?? ...hebu tulizeni akili πŸ˜€ πŸ˜€
 
Naomba uipende Yanga kwanzaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Me ntakupenda baada ya mechi

Aiseeee naomba kaka yetu umtafuteπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚maana atakua anapumulia mashine saiv

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…