Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
- Thread starter
-
- #161
Au Na MamelodiKweli no people ingekua k chief vs o pirate ingekua nyomi
Hawa Marumo kama wameshajikatia tamaa vile
Sikufaham hili maana mara nyingi zilikua zinaonyeshwa hapo Variety tu. So hua naenda mojakwamoja VarietyHata 225 Supersport pia wanaonesha
Usisahau kuniita best. 🤣🤣Tukipata goli moja tu naanza kula bia kwa fujo
Lawama zote kwa kiparaAsee tanesco ni konyoo