Dr Msweden
JF-Expert Member
- Nov 3, 2020
- 2,629
- 9,530
Uliitakia kheri mara ngapi yanga ikafungwa? Maana kila mechi yanga inashindaKila nikiitakia heri Yanga tunafungwa, yaai leo sisemi kitu wala kupost kitu hadi dakika ya 80.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uliitakia kheri mara ngapi yanga ikafungwa? Maana kila mechi yanga inashindaKila nikiitakia heri Yanga tunafungwa, yaai leo sisemi kitu wala kupost kitu hadi dakika ya 80.
Amen!Mungu saidia Yanga tusife 2 huko.
Yan tusitolewe.Tumeisubiri fursa hii toka kuumbwa kwa dunia
Timu haina mashabikiWasouth kiingilio bure na uwanja hauna watu
KabisaaNusu fainal ipo kwenye mikono ya Yanga waamue wenyewe kuiachia
Wanapigwa na Leo km ndio hivyo maana wameingia na Deni wataweza kuipiga Yanga 4-0 Mayele Aziz Ki wapo TU wanawaangalia Bakari NONDO Mwam-NYETO anawaangalia tu ?Wasouth kiingilio bure na uwanja hauna watu