FT: Marumo Gallants 1 - 2 Young Africans | CAF Confederation Cup 17.05.2023

FT: Marumo Gallants 1 - 2 Young Africans | CAF Confederation Cup 17.05.2023

Screenshot_20230517-182845_Chrome.jpg
 
Hii game ni ya utopolo Iko waz sana Sion marumo akifurukuta Kwa vyura fc.
Vyura wako vzr sana hii misimu miwili lazima tukubali hili.
Fainal anaenda labda kombe ndio itakua utata Kwa kias chake.
Hata wasipobeba kombe ni hatua kubwa sana wameifikia hawa vyura[emoji122]
 
Back
Top Bottom