Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila leo utakuwa na usiku mbay(nightmares)Sasa anafunga Musonda mnamsifia Mayele..mna homa ya mayele
Sitaki uweke picha yangu mpendwa😬
Nini sasa...hayo ni marudio kwa mnyama[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata kama wakiiombea yanga Mungu hawezi kusikilizia maombi yao! Lakini nachojiuliza mimi why they are always negative! Negative negative!,!?Wale ni wachambuzi sio wachungaji kwa hiyo sio kazi yao kufanya maombi.
Ni kwasababu umeaminishwa kuwa mnachukiwa ila ukiwa unafatilia mwenyewe bila kupata dokezo kwa Manara utaona mazuri yao mengi wanayosema.
Angalia wakiisifia Yanga, Manara anasema wanajipendekeza wakisema negative anasema ni chuki. Hivi ungekuwa ni wewe hapo ungefanyaje?
Oruma leo kawamwagia sifa nyingi kabla ya mechi lakini hujaiona kwasababu wenye bifu nae hawajataka mjue.
Sio mimi dada labda washamba wa michezo..Ila leo utakuwa na usiku mbay(nightmares)
Kwakweli🤣🤣🤣Faisal alisepa na gundu lake yule mtoto
Mkuu pole, sisi simba tutawambia nn watu aisee.Nikiwa kama shabiki wa Simba kikweli ninateseka na haya matokeo ya Yanga
Dua zangu wasinyanyue kombe tu
Naomba uipende Yanga kwanza😆😆😆
Wanapaki bus tu na kufa kiume😀🏃♀️Kuna timu wao wakienda ugenini wana zuia tu[emoji81][emoji81][emoji81]