Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh sinywagi hizo takatakaUsiwe na hasira,unakunywa waini badala ya MO energy ili Boss apate hela msimu ujao asajili,hiyo ni dharau 😀😀
NIPE MSAADA PLEASEUsi
UsiFe mtani
Nasikitika amesikia hiki kipondo alipo nguvu za kiume zimemwishia🤣🤣Hayupo..na yeye Simba damu damu kwanza yy hana moyo kama wangu wa kuangalia tena toka tutolewe..mimi nakomaa... 😆 😆 😆
Furaha vibe kama lote wananchi[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Tumejikuta nyumba nzima Yanga ni Raha tu
Last season CAFCC ukifika wapi zaidi ya 1/4? Na ni mashindano haya haya?Sasa mbona Ligi ya club bingwa hamfiki huku mlikofika leo mnakwama wapi [emoji16][emoji16]
Taratibu dada tusije tukaoga Matusi mengi [emoji1787][emoji1787]Hahahah ni garasa hiyo timuu..
Inshort timu zote za sshirikish ni mbovu
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji851] [emoji851] [emoji851] [emoji851] [emoji851]
Vimbenju🤣🤣🤣Scara,Kalpana, Greatest of all time & company
View attachment 2625605
Mo haleti hela 😀😀😀Duuh sinywagi hizo takataka
Tuwaongeze la tatu?Yanga tumekosa goli duh
Since day one 💃🕺😘💚💛💛💛Daah totoo nawe Yanga?😂😂😂
Nimeshawapongeza huko juu ila penye ukweli tunasema mtani [emoji3][emoji3]Acha wivu tupongeze bhana[emoji23][emoji23][emoji23]