Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anayekataa ubora wa yanga huyo hajui ball....sie wengine wapenzi wa mpira hatuna timu. Tuneenjoy ball tuu.Umetukubali eeh safi wewe ndiye shabiki mstaarabu
Hata Marumo mlisema hatumfungi wachawi wetu tunawajua😂Hilo kombe hamchukui Bana [emoji1787][emoji1787]
Weweee tuliza kipwipwi chako hikooooNyie vipwipwi mtuache 😀
Na hawataki kukusikiaKila siku nashauri tff imchukue prof. Nabi awe kocha wa taifa stars
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sawa marumo wa msimbaziSasa hilo ni kombe???
Yanga ikikutana na timu nzuri haitoboi.
Woooi!! Baba wa mchongo🤣Labda hujatii maagizo ya baba😂😂😂
Tutaenda rafiki nitakuja n glucose niwe nawapa...maana mtazimia sanaAnayekataa ubora wa yanga huyo hajui ball....sie wengine wapenzi wa mpira hatuna timu. Tuneenjoy ball tuu.
Sasa bby mtoko huo wa tarehe 28 taifa twende wote.
tutamkalibisha Kalpana aone final ya caf inakuwaje
3some zitakuepo????Anayekataa ubora wa yanga huyo hajui ball....sie wengine wapenzi wa mpira hatuna timu. Tuneenjoy ball tuu.
Sasa bby mtoko huo wa tarehe 28 taifa twende wote.
tutamkalibisha Kalpana aone final ya caf inakuwaje
😂😂😂 ndo kilichobakia eti.🤣🤣🤣🤣🤣
Huu mwaka watazurura sanaa.
😂😂😂😂Yang'aaaaaaaaaaaaaaa
Vimbaaaa mwananchiii
Kariboooo sanaaaa mtaniYang'aaaaaaaaaaaaaaa
Vimbaaaa mwananchiii
Ww kipwipwi umeitwa??Weweee tuliza kipwipwi chako hikoooo
Karibu na ww unyamani..kila mtu abaki na timu yake 😀 😀 😀Kariboooo sanaaaa mtani