National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,121
Simba wamepata uchungu wa kujifunguaYangaaaaaweuweeeeeeeee🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Fainali hiyooooo🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba wamepata uchungu wa kujifunguaYangaaaaaweuweeeeeeeee🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Fainali hiyooooo🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ni 1-2 MkuuFull time[emoji123][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172]
2-1
Wananchi tumeupiga mwingi[emoji16][emoji460]️Full time[emoji123][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172]
2-1
Kuna mtu aliahidi mavi tunataka mavi yetu...😂😂dah! Hadi moyo unauma sana wakuu
Jasho limejaa, pressure inapanda naisikia, hamu ya kula inakataa, kichwa cha moto, kwenye kiti nimeshindwa kukaa, hasira nyingi, mapigo ya moyo yanaongezeka kwa kasi, tumbo linauma, joints za mwili zinauma, mwili unakosa nguvu,kila ninaemuona namuona ka ananikera. Nakaribia kufaaaaaaaaaaaa.....!!!
MSAADA PLEASE MAANA NAWEZA HATA KUFA KISA USHINDI WA YANGA
Mkifika final nitakaribia unyamani kama kwaidaKaribu na ww unyamani..kila mtu abaki na timu yake 😀 😀 😀
YAMETIMIAAAAAmabtwane babutale bankulumbazi watajua Leo. Tunawapiga Tena mbili hukohuko kwao... Cha ajabu wataumia Koloz zaidi kuliko hata mdhamini wa malumo
Ushabiki gani huu braza angu hahahMkifika final nitakaribia unyamani kama kwaida
Kuna mtu aliahidi mavi tunataka mavi yetu...
woyooooo twenzet tukainjoyWoyoooooooooooooooooo
Nani kama Yanga????
Tumewafunga midomo kuanzia wachezaji wao mpaka mashabiki wao uchwara....
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Yaani I had no idea🤣
Nasikia makelele tu huko nje
Ushabiki gani huu braza angu hahah