Kiweriweri
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 2,150
- 3,086
Ushindi mwingine mwembamba... uliyowezeshwa kwa mara nyingine na Mzee Guede
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo mwamtukanaHuyu mzize mgese sana,
Unaona wanapelekewa moto alafu unauliza kama wameridhika!!!?? Uwezo umeishia hapoYanga wameridhika?
Hayo ni juu yako kuamuaHuitakii mema Yanga
TifuatifuaTiefuefu❌
TFF✅
Usituharibie kiswahili Tafadhaliii...!🤸
Nyie uwezo wenu mkubwa uliwapa faida gani hadi mkatolewa na hao Mashujaa?Unaona wanapelekewa moto alafu unauliza kama wameridhika!!!?? Uwezo umeishia hapo
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Unamaanisha Lucas Mwashambwa ? Wanawake wana huruma kweli. Yaani kuna binti amempemda kabisa Lucas? Inasikitisha.Luca
Huyo huyoUnamaanisha Lucas Mwashambwa ? Wanawake wana huruma kweli. Yaani kuna binti amempemda kabisa Lucas? Inasikitisha.
AiseeeeHuyo huyo
Ndivyo mnavyojifariji hivi sio? Kikubwa point tatu za ubingwa,goli nyingi nilishamaliza kuzifunga kwa timu yako mbovu
Anapigana au anagombana?Guede apunguze hasira! Ananiudhi anavyopenda kupigana hovyo uwanjani
Ndio mmeishia hapa
Ndivyo mnavyojifariji hivi sio? Kikubwa point tatu za ubingwa,goli nyingi nilishamaliza kuzifunga kwa timu yako mbovu
Toka huko njoo utembee tembee huku Matejoo. 😅😅Ghetto
Tena mahakama ya kimataifa, sio kisutuHii Yanga labda ifungwe na mahakama