FT: Mashujaa 1-1 Simba SC | | Simba waondolewa Shirikisho kwa matuta (6-5) | Tarehe 9/4/2024

FT: Mashujaa 1-1 Simba SC | | Simba waondolewa Shirikisho kwa matuta (6-5) | Tarehe 9/4/2024

Mashujaa Vs Simba SC | Lake Tanganyika Stadium | CRDB Confederation Cup | Aprili 9, 2024

KIKOSI CHA SIMBA
View attachment 2958729

KIKOSI CHA MASHUJAA
View attachment 2958733
Mo- day, hi mechi ya leo ni dedication kwa Mo- boss mkubwa, anayetoa fedha za usajili kwa Try-again na genge lake wakasajili wao wanaokoto magalasha yaaliyoachwa na timu zinazoshuka daraja , wanapiga cha juu na kututangazia wachezaji usiku wa manane[masharti ya mganga]
 
Mashujaa Vs Simba SC | Lake Tanganyika Stadium | CRDB Confederation Cup | Aprili 9, 2024

KIKOSI CHA SIMBA
View attachment 2958729

KIKOSI CHA MASHUJAA
View attachment 2958733
Hii simba inatakiwa ibomolewe na ijegwe upya
Hakuna wanachojifunza kila uchao yaani wachezaji wameshafika mwisho hawafundishiki hata akija pep gadiola kwa simba hii bado watapigwa nyingi tuu

Subiri April 20 kuna goli zaidi ya sabaa kutoka kwa watani zao yanga
 
Tukifungwa hii mechi mi nitafurahi sana

Ndio alarm pekee ya kuamsha viongozi wazembe ambao wameshindwa kutekeleza majukumu yao.

Hata kuiangalia siiangalii, tufungwe tu
Ungeyasema haya kabla... Kicha cha kuficha maumivu...
 
Tunawawasha zakutosha hawa
Uongozi wa Club unatufelisha sana, matokeo ya hapa tutayopata iwapo tutashinda yatawafanya wajisahau.

Ni kama tulivyotolewa kwenye Club Bingwa tukashindwa kuzungumza mapungufu yetu kwasababu ya ule upepo wa Yanga na Mamelodi.

Viongozi wetu kama umegundua wanafurahia sana kuona moments kama hizo zinajitokeza kwa wingi ili kusudi watu washindwe kujadili mwenendo mbovu wa timu yao.
 
Hii simba inatakiwa ibomolewe na ijegwe upya
Hakuna wanachojifunza kila uchao yaani wachezaji wameshafika mwisho hawafundishiki hata akija pep gadiola kwa simba hii bado watapigwa nyingi tuu

Subiri April 20 kuna goli zaidi ya sabaa kutoka kwa watani zao yanga
Yaani muibomoe timu wakati Chama bado yupo?
 
Hawa jamaa walishawahi kutufungwa, ile Simba ya mataji manne, haitakuwa hamna jipya.
 
Dakika ya ngapi huko?

Watu wako kwenye swaumu
 
Simba ss hivi kila timu inajipigia tyuuuu!!
Ww udugu cocacola uko wapi njoo huku 😂😂😂
 
Back
Top Bottom