uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 10,392
- 15,948
Ila hii hatupoteziUongozi wa Club unatufelisha sana, matokeo ya hapa tutayopata iwapo tutashinda yatawafanya wajisahau.
Ni kama tulivyotolewa kwenye Club Bingwa tukashindwa kuzungumza mapungufu yetu kwasababu ya ule upepo wa Yanga na Mamelodi.
Viongozi wetu kama umegundua wanafurahia sana kuona moments kama hizo zinajitokeza kwa wingi ili kusudi watu washindwe kujadili mwenendo mbovu wa timu yao.