FT: Mashujaa 1-1 Simba SC | | Simba waondolewa Shirikisho kwa matuta (6-5) | Tarehe 9/4/2024

FT: Mashujaa 1-1 Simba SC | | Simba waondolewa Shirikisho kwa matuta (6-5) | Tarehe 9/4/2024

Bado Kuna kipigo kingine kunamsubiri huku.
Mwaka huu Simba Kama 1988.
 
1-1 mkuu, dk 54. Na simba inashambulia vizuri tu.
Hujuma tupu, Simba ni mbovu mno, pira la kuungaunga lisilo na mipango! Mmefufuka baada ya kadi Nyekundu ya mchongo! Kama mashujaa "wanawafanya" basi tarehe 20 kuna aibu kubwa mbele yenu.
 
Back
Top Bottom