FT: Mashujaa 1-1 Simba SC | | Simba waondolewa Shirikisho kwa matuta (6-5) | Tarehe 9/4/2024

FT: Mashujaa 1-1 Simba SC | | Simba waondolewa Shirikisho kwa matuta (6-5) | Tarehe 9/4/2024

Watagogwa tu, pamoja na tunguli zao! Walisema kutangulia si kufika.
 
Saidoo anaharibu. Bora anatolewa. Kanoute in.
 
Hujuma tupu, Simba ni mbovu mno, pira la kuungaunga lisilo na mipango! Mmefufuka baada ya kadi Nyekundu ya mchongo! Kama mashujaa "wanawafanya" basi tarehe 20 kuna aibu kubwa mbele yenu.
Mbona mnahemukwa sana? Msijione nyie miamba sana...ubuntu boooothooo
 
Back
Top Bottom