FT: Mashujaa 1-1 Simba SC | | Simba waondolewa Shirikisho kwa matuta (6-5) | Tarehe 9/4/2024

Kwamba ww ni mgeni au?
Kwa mpira wa YANGA na timu ya YANGA kuna mahala ataihofia nyau?. Halafu nyie mashabiki wa mikia siku hizi kila mahala mawazo yenu yako kwa YANGA tu. Mkigongwa tatizo YANGA. Hata mkiwa na mechi ngumu,mawazo na michecheto yenu yote kwa YANGA. Wenyewe sasa YANGA wanaendelea na mipango yao ya mbele huko
 
Bwna wee kwamba nyie mawazo yenu yako kwa Azam au? Vyura msitupangie...
 
Dakika ya 76
Mashujaa 1. Simba 1
Mashujaa wakiwa pungufu mchezaji mmoja
 
Ila wanasimba, timu yetu inahitaji maboresho.
 
Yani nasikia hapa kwny kiredio..hivi wanashindwa kumuingiza yule chasambi? Maana nasikia magoli yaliyopotea mpk huruma...
 
Simba ya mwaka huu tia maji tia maji...
 
Yani nasikiliza hapa nasikitika kabisa..kuna magoli kama 4 nimeyasikia...
Bora hata unasikiliza. Ungekuwa unatazama kama mimi usingeishia kusikitika tu.
 
Back
Top Bottom