FT: Mashujaa FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Lake Tanganyika Stadium | 03.02.2024

Uliekweka uzi weka live updates aisee.

Waanzisha nyuzi wa siku hizi miyeyusho sana aisee.
 
Hawa wa kubebwa hawaishiwi tu penalties !
 
Uwanja umelalia kwa Mashujaa
 
Bado SIMBA ina- strugle namna ya kutengeneza CHANCES..
MZAMIRU, KONOUTE na SAIDOO wote wanakimbia wakiwa wanaangalia chini
 
Bado SIMBA ina- strugle namna ya kutengeneza CHANCES..
MZAMIRU, KONOUTE na SAIDOO wote wanakimbia wakiwa wanaangalia chini
Sure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…