FT: Mashujaa FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Lake Tanganyika Stadium | 03.02.2024

Huyu Makonda alisafiri na kikosi cha Simba au imetokea tu mechi imemkuta Kigoma?
 
Aisee, Manula anafanya save ya maana dk ya 66, story ingekuwa tofauti.
 
Back passes ni adui namba moja wa Simba, why hawakemewi kuachana na style hiyo ya uchezaji?
 
Nilidhani Benchikha ametibu tatizo la Simba kumbe waaapi. Hawa jamaa hawana huruma na timu kabisa. Hawana tofauti na wachezaji wa ndondo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…