minzakunza
Senior Member
- Oct 15, 2015
- 182
- 412
Hujachelewa kalale ukueUnaona wachezaji 24!! Kashabikie tu rede.
Watoke woteHapana atoke Aziz ki
Kweli Aziz Ki katoka Chama kaingia [emoji736]Hapana atoke Aziz ki
Pacome ana kitu abaki kwanzaWatoke wote
Marino siyo magoliHaya matobo wanayopigwa wachezaji wa Yanga siyo poa kabisa.
Game imemkataa kocha anakaza fuvuHuyu Duke anafanya nini uwanjani mpakansasa hivi?
Kusema kweli tunazioverrate team zetuKwamba huu ndio mpira mnaoangalia kila siku? Kweli mipira ya kwetu inachezwa zaidi nje ya uwanja.
It's boring!
Mobeto kakunjuaAziz K haonekani kukunja bukta siku hizi shida nini🤗🤗