Ferguson united
Member
- Aug 20, 2024
- 68
- 146
Kufungwa utafungwa tu ni suala la muda tu kifo chako kipo pale paleTupeni maua yetu, hii timu sio ya mchezo. Kuihold hadi sasa hawajapata goli ni kazi juu ya kazi.
Ila Waarabu hapa mwishoni walichoka, walianza kwa kasi sana.