kovai tamil taiga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 1,451
- 2,059
Free kick kuelekea Yanga 17'
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenye link ya kustream naomba
huyu alikuwa na kiherehere tu chakuwa wakwanza kufungua uzi hajui ni dhamana yenye kazi!, hajaweka hata kikosi uzi anajisifia yeye kuwa wakwanza kufungua! watu wengine vichekesho tupu!..Mbona huleti updates za mechi?
Wapo mazoezini mkuuMechi haina mashabiki
808liveMwenye link ya kustream naomba
Kaitumia vizuri akili ya 🐸🐸huyu alikuwa na kiherehere tu chakuwa wakwanza kufungua uzi hajui ni dhamana yenye kazi!, hajaweka hata kikosi uzi anajisifia yeye kuwa wakwanza kufungua! watu wengine vichekesho tupu!..
huyu hafai siku nyengine asipewe nafasiKaitumia vizuri akili ya 🐸🐸
Kazingua sanahuyu alikuwa na kiherehere tu chakuwa wakwanza kufungua uzi hajui ni dhamana yenye kazi!, hajaweka hata kikosi uzi anajisifia yeye kuwa wakwanza kufungua! watu wengine vichekesho tupu!..
mshamba tu sijui katokea kijiji gani huyu... 🤣Kazingua sana