GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 6,260
- 14,470
Hivi hii game unaweza kuingalia kwa simu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani jamaa aliona nyuma mwiko ni utopolo, halafu akaipa jina utopolo., !Piga utopolo hao
Mko na timu nzuri sana, wakiwa vyema psychologically mnashinda, timu yenu si kama yetu, mko vizuri sana na huo ndo ukweli.Sina imani, sina matumaini. Lakini ndio timu yangu, sina budi kuitakia ushindi nisiojua tutaupata vipi!
Mungu atusaidie.
Mkuu, kua na amani tunashinda hii game.Ngoja nipumzishe fuvu mapema kabla yanga hawajanitibua usingizi ukapaa.All the best Young African lol
Masindano yashapoteza mapema sanaAziz ki ? Kibabage ? dadeki mpo 9 uwanjani ni mikqndo tu
mmekimbia uzi, tupeni updatesMnafiki mmoja kwenye 1&2
🙄 ilibaki kidogo tu taifa liaibike mapema sanaTulieni haaa haaa