kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Saana mkuu, nina mda siangalii mpira, kwa hiki ninachoangalia naona kabisa mpira tunaucheza mdomoni.Kusema kweli tunazioverrate team zetu
Ana kadi na bado anacheza rafu.Game imemkataa kocha anakaza fuvu
Visit ZanzibarHizi jezi nyuma zimeandikwaje?
Dube,aziz kii na kibabage wana hisa utopoloniiHuyu Duke anafanya nini uwanjani mpaka sasa hivi?
😂🤣🤣🤣🤣Tatizo wakifunga wataanza kumshukuru "Mom" badala ya Kocha, ndio laana inavyowapata
QmmkVisit Zanzibar