Tulisema tangu mwanzo kuhusu kocha hamkutusikia
Gamondi alitakiwa kubaki, sasa angalia huyu kocha anamuingiza dube kwa nafasi gani? Yaani hata wachezajj hawajui vizuri tunacheza vichekesho vitupu kwa kweli.
Nilitegemea Aucho aingie kati niliona kwenye sub yupo, Duke kachoka sana na huyu kibabage wa kumtoa na viboko juu