FT: MC Alger 2-0 Young Africans | CAF Championship League | December 7, 2024

FT: MC Alger 2-0 Young Africans | CAF Championship League | December 7, 2024

Semaji lao lilifurahi sana liliposikia mechi hii mc alger watakosa mashabiki, yalidhani yataambulia japo point moja achilia mbali point tatu, matokeo yake yameishia kuburuza mkia kama kawaida na hapa ndipo uwezo wao ulipoishia
 
Tulisema tangu mwanzo kuhusu kocha hamkutusikia

Gamondi alitakiwa kubaki, sasa angalia huyu kocha anamuingiza dube kwa nafasi gani? Yaani hata wachezajj hawajui vizuri tunacheza vichekesho vitupu kwa kweli.

Nilitegemea Aucho aingie kati niliona kwenye sub yupo, Duke kachoka sana na huyu kibabage wa kumtoa na viboko juu
Ha ha ha ha ha si mlitaka kucheza na malaika sasa vilio vya nini?
 
Back
Top Bottom