FT: MC Alger 2-0 Young Africans | CAF Championship League | December 7, 2024

🎡🎡Si Nlitaka Chai chai, Mbona Mnalalamika Mnaungua🎢🎢

🎢🎢Kuwa mwangalifu Msikivu Ukipenda Sana Ligi ya Mabingwa Itakuua 🎢🎢

Si Mlitaka Uuuh Haaaa iweje Mlalamike Mnaunguaaa 🎡🎡🎢🀣🀣
 
Asante sana chama langu la MC Alger🀣🀣🀣🀣🀣
Mmepita kwenye njia ile ile ya Al Hilal Omduman.
 
Aibu yao.
Kufungwa kila siku?
Hata mashujaa haifungwi fungwi hovyo namna hiii.
 
Tuna asilimia chini ya hamsini kufuzu robo, haya yote tumejitakia wenyewe. Usiku mwengine mrefu.......
Na utasema safarii hii,
Hii ndo CL, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uto wako katika slow pancha mode warudi kwa Mzee Magoma akarekebishe mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…