kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Wazee wa dozi huwa mnagombewa kuanzisha uzi kweli vyura wana matatizo mengi yanawazunguuka!Tyee!!! Leo nimewahi kuanzisha thread. Watakaonuna na wanune.
View attachment 3170959
View attachment 3170960
Nastahili kupongezwa kwa mafanikio haya
Namaanisha 3goalsUnamaanisha pakiti ya kondom?
Tyee!!! Leo nimewahi kuanzisha thread. Watakaonuna na wanune.
View attachment 3170959
View attachment 3170960
Nastahili kupongezwa kwa mafanikio haya
Chonde Chonde, Diarra wasije jaribu tena kudaka mpira kwa makalio kama alivyo Fanya kwa mkapaTyee!!! Leo nimewahi kuanzisha thread. Watakaonuna na wanune.
View attachment 3170959
View attachment 3170960
Nastahili kupongezwa kwa mafanikio haya
Nakazia. Kuna kila daliliKila la kheri MC Alger.
FT: MC Alger 2 vs 0 Dar Young Africans.
Mungu ibariki Afrika.
Club ya TAIFA, haiwezi kulidhalilisha taifa.Siku ya Taifa kudhalilishwa imewadia
Juzi tu imetufedhehesha sebuleni kwetu dhidi ya waarabu koko.Club ya TAIFA, haiwezi kulidhalilisha taifa.
Mateja leo wanapigwa kama ngomaTyee!!! Leo nimewahi kuanzisha thread. Watakaonuna na wanune.
View attachment 3170959
View attachment 3170960
Nastahili kupongezwa kwa mafanikio haya
Sasa kwa aina ya strikers kama hawa, matumaini unayatoa wapi?Sina imani, sina matumaini. Lakini ndio timu yangu, sina budi kuitakia ushindi nisiojua tutaupata vipi!
Mungu atusaidie.