FT: MC Alger 2-0 Young Africans | CAF Championship League | December 7, 2024

FT: MC Alger 2-0 Young Africans | CAF Championship League | December 7, 2024

Now days mnamtegemea Mungu, baada ya sindano kusanukiwa.
Ndio maana huwa nasema kuwa jukwaa la michezo limevamiwa na watu wasiowahi hata kuokotea mipira hivi ni mtu gani mwenye utimamu wa akili aliewahi kucheza mpira ambae hajui kuwa Yanga ilikuwa bora kutokana na quality ya players wake?
 
Odd 5 nimempa zangu Mc Alger ashinde kwa laki 5

Kesho naamka na hela nzuri siwazi sikukuu Wala ada ya January
 
Hata tukifungwa jezi zetu nzuri, ila rangi zetu tu ndio tumezisahau.
Utaifa pembeni, natetea mkeka wangu. Waarabu kila la heri.
 
Sina imani, sina matumaini. Lakini ndio timu yangu, sina budi kuitakia ushindi nisiojua tutaupata vipi!

Mungu atusaidie.
Pole sana. Ni mapito tu. Kuvunjika kwa koleo sio mwisho wa uhunzi, na ukijikwaa sio lazima uanguke. Ila mpunguze midomo. Sasa hivi mmekuwa wapolee! Zile mbwembwe za KIKOSI KIPANA, YANGA HII UNAIFUNGAJE..... na yule golikipa wenu mlidai anaweza kudaka hata mishale.. zimefutika kwa ghafla.
 
07 December 2024
Algiers, Algeria

Live : Dakika 94'' Full Time
MCA 2-0 YOUNG AFRICANS
Goal Ayoub 64'
Goal Bayazid 94'
Siku ngumu ya kununua magoli

Wenyeji MC Alger au MCA timu mwenyeji yenye makao makuu mjini Algiers ilipoanzishwa mwaka 1921 ikiwakaribisha Young Africans kutoka Tanzania iliasisiwa mwaka 1935 Kariakoo jijini Dar es Salaam

Ball possession:
MCA 57 % vs % 43 YOUNG AFRICANS
 
Back
Top Bottom