Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Mwanzisha uzi na mashaka ni kolo hata updates na majibu rahisi kwa wadau hamna,isije kuwa mwana Nzimbazi kadukua huu uzi?mechi saa ngapi leo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanzisha uzi na mashaka ni kolo hata updates na majibu rahisi kwa wadau hamna,isije kuwa mwana Nzimbazi kadukua huu uzi?mechi saa ngapi leo?
"we are coming up with team with many expirience player" by ka SaidiMuda wa mtu kubakwa umekaribia. Bora ajipake mafuta mengi ili iliteleze
Hayo kwa makolo tuu.Hadi atolewe bawasiri dadeq
Leo uto wanachezea KOKI..Tyee!!! Leo nimewahi kuanzisha thread. Watakaonuna na wanune.
View attachment 3170959
View attachment 3170960
Nastahili kupongezwa kwa mafanikio haya
Yajangwani ama ya porini?Siku ngumu ya kununua magoli
Umeambatana na timu huko Algeria au upo Ujugu arena kufatilia mechi?Nastahili kupongezwa kwa mafanikio haya
Kichiguu yupo ujigu,wanapo fanyia fitna wanyamaUmeambatana na timu huko Algeria au upo Ujugu arena kufatilia mechi?
Kuwa na amani tunashinda leoSina imani, sina matumaini. Lakini ndio timu yangu, sina budi kuitakia ushindi nisiojua tutaupata vipi!
Mungu atusaidie.
EemwaaKila la kheri Yanga SC 💚 💛 💛 ushindi Leo lazima naziona chuma tatu
Musonda
Pacome
Chama
Timu pendwa kutoka kusini mwa jangwa la Sahara
Kila la kheri MC Alger.
FT: MC Alger 2 vs 0 Dar Young Africans.
Mungu ibariki Afrika.
Hilo uombalo litawakuta wa mwituni hiyo keshoKila la heri me alger,hao wengne,lolote liwakute
Kumbe Kichuguu ni wale akina pangu pakavu tia mchuzi 😂Kichiguu yupo ujigu,wanapo fanyia fitna wanyama