FT: MC Alger 2-0 Young Africans | CAF Championship League | December 7, 2024

FT: MC Alger 2-0 Young Africans | CAF Championship League | December 7, 2024

Sina imani, sina matumaini. Lakini ndio timu yangu, sina budi kuitakia ushindi nisiojua tutaupata vipi!

Mungu atusaidie.
Nidhamu, umakini, kujituma na kukumbushana majukumu hasa eneo la ulinzi ndio itakuwa silaha kubwa leo. Tukishindwa kuyafanya hayo basi tutayaoga magoli mengi. Yale mambo ya kwenda tu mbele kushambulia halafu nyuma kabaki mtu mmoja kocha alifanyie kazi, na kukosa kosa magoli ya wazi nalo ikome hiyo tabia. Timu imekuwa na ubutu wa safu ya umaliziaji
 
MC Aliger jipigieni hayo mateja yana arosto ya mwaka mshindwe wenyewe
 

Attachments

  • 1000015612.jpg
    1000015612.jpg
    177.8 KB · Views: 3
Mimi ni Yanga damu, hii game tunafungwa Wachezaji wetu hawana morale kabisa, wamekata moto mapema. Kwa kifupi tunapoteza na hii.

Turudi na sababu kibao, ooh hali ya hewa oh mashabiki walitoa moshi n.k n.k
Mnafiki mmoja kwenye 1&2
 
Kila la heri Wananchi Kimataifa

Halafu kumbe kuna mashindano mapya ya CAF CHAMPIONSHIP LEAGUE na hatuambiani
 
Back
Top Bottom