Al hilal nguvu moya.Muda wa mechi ni saa 16:00 na tayari vikosi vyote vimefika uwanjani
Upande wa Simba wale wachezaji waliokosekana mechi za nyuma kwasababu ya kukosa fitness iliyosababishwa na kuuguza majeraha ya muda mrefu, hatimaye leo wameanza.
View attachment 2507320
Kasoro General Phiri ndio sijamuona hapo
maana hamna namnaPiga hiyo Mikia FC
Bora hii statement ungeitumia katika mtindo wa swali.huyu mwanuke ambaye ana mgogoro na mapombe
Sometimes inabidi tuwazoee tu ila ukikisa uvumilivu ndio inabidi uwajibi hiviBora hii statement ungeitumia katika mtindo wa swali.
Ni lini ulisikia Bwana mdogo Mwanuke ana ugomvi na Kapombe?
Huna taarifa kamili, uliza.
Kama unataarifa kamili, Report.
I hate to be rude... au hata taarifa pia unaokota okota kama matunda? Muokota Matunda. Asking for a friend😂
Punguza shobo,tazama mechiAisha Manula a.k.a shati 😀
Kila siku mechi hapoJua ni kali na uwanja hautunzwi vizuri
Utaacha lini upimbiSimba ni kubwa sana, timu yako imejulikana kupitia mafanikio ya Simba
So ni either you win with us or you watch us win