Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwanja wa mkapa ama unatumika vinaya au haupati huduma,umekuwa ovyo.Ilitakiwa Kila baada ya mechi upate maji lakini Hilo halifanyiki.Utunzaji kwetu ni zero kabisaMuda wa mechi ni saa 16:00 na tayari vikosi vyote vimefika uwanjani
Upande wa Simba wale wachezaji waliokosekana mechi za nyuma kwasababu ya kukosa fitness iliyosababishwa na kuuguza majeraha ya muda mrefu, hatimaye leo wameanza.
View attachment 2507320
Kasoro General Phiri ndio sijamuona hapo
Bora hii statement ungeitumia katika mtindo wa swali.
Ni lini ulisikia Bwana mdogo Mwanuke ana ugomvi na Kapombe?
Huna taarifa kamili, uliza.
Kama unataarifa kamili, Report.
I hate to be rude... au hata taarifa pia unaokota okota kama matunda? Muokota Matunda. Asking for a friend[emoji23]
Jitahidi walau kidogo kuandika vitu vyenye Afya.Mbrazil amefanya kosa kubwa sana kuja kufundisha timu kama simba. Maana kuna uwezekano mkubwa wa kujichafulia CV yake. Bora angebakia zake tu Vipers.
Meza mate kwanza...utapaliwaMbrazil amefanya kosa kubwa sana kuja kufundisha timu kama simba. Maana kuna uwezekano mkubwa wa kujichafulia CV yake. Bora angebakia zake tu Vipers.