FT || Mechi ya Kirafiki | Simba 1 Vs 1 Al Hilal | Estadio de Benjamin Mkapa

FT || Mechi ya Kirafiki | Simba 1 Vs 1 Al Hilal | Estadio de Benjamin Mkapa

Hii mechi Simba wanataka kuwapaisha Alhilal? Maaana si kwa kikosi hiki
Kwani mmepanga kikosi cha majimaji? Si wachezaji wenu hao mlitakiwa msajili wachezaji 30 na miongoni mwao ni hao wanaocheza leo unataka kutuambiaje sasa
 
Jimmyson anafanya makosa mengi mno

Simba wawe makini..!
 
Kwani mmepanga kikosi cha majimaji? Si wachezaji wenu hao mlitakiwa msajili wachezaji 30 na miongoni mwao ni hao wanaocheza leo unataka kutuambiaje sasa
Walikua majeruhi hawana stamina
 
Ili Simba iendelee kuna wachezaji zaidi ya 10 wanatakiwa kuondolewa

Kyombo
Banda
Bocco
Mkude
Nyoni
Kakolanya
Ali
Mwinuke
Kennedy
Okra
Kibu
Outtara
Gadiel

Waondoe Internationals 5 walete vyuma 5

Waondolewe hawa waletwe wengine
 
Baleke anatoka nje kupata matibabu baada ya kupata rabsha
 
Uongozi uangalie uwezekano wa kumwondoa huyu Okrah ikibidi waongee aletwe Farid kucover maana hamna anachokifanya
 
Al Hilal wako vizuri kifogo
 
Back
Top Bottom