FT || Mechi ya Kirafiki | Simba 1 Vs 1 Al Hilal | Estadio de Benjamin Mkapa

FT || Mechi ya Kirafiki | Simba 1 Vs 1 Al Hilal | Estadio de Benjamin Mkapa

Ili Simba iendelee kuna wachezaji zaidi ya 10 wanatakiwa kuondolewa

Kyombo
Banda
Bocco
Mkude
Nyoni
Kakolanya
Ali
Mwinuke
Kennedy
Okra
Kibu

Waondolewe hawa waletwe wengine
Kakolanya na Kenedy wana kosa gani
 
Simba Uongozi unaona Kwa Kiwango gani Wachezaji Wetu Hawapo Fit kwa Mechi Kubwa na Ngumu. Kucheza Na Mbeya City au Mtibwa Kusitudanganye kuwa Tupo FIT

Okrah Kaumia.

Baleke Kaumia.

Siku kitu sawa kwa Timu kama Simba Tunayo shiriki Kimataifa na Akina Horoya, Casablanca Na Wengine
 
37' Bocco ameingia kuchukua nafasi ya Baleke upande wa Simba SC
 
Ili Simba iendelee kuna wachezaji zaidi ya 10 wanatakiwa kuondolewa

Kyombo
Banda
Bocco
Mkude
Nyoni
Kakolanya
Ali
Mwinuke
Kennedy
Okra
Kibu

Waondolewe hawa waletwe wengine
Yani ni wengi mno Outtara,Gadiel,hata huyu Sawadogo aliekuja ni mzigo tu anakumbakumba watu tu
 
PXL_20230205_134057945.PORTRAIT.jpg
PXL_20230205_134037599.PORTRAIT.jpg
 
40' Kibu anatumia nguvu kuupata mpira lakini refa anasema wacha hiyo we Kibu

Simba SC 0-1 Al Hilal
 
Waliedin anatoka nje kupata matibabu baada ya kupata rabsha
 
Huyu ndio Enonga
 
Kama timu tuna dosari ndogo ndogo nyingi za kimbinu na kiufundi.

Tumekosea kuleta kocha mpya mwenye falsafa tofauti kabisa na aliyoikuta mwezi mmoja kabla ya mashindano ya kimataifa

Hatuko tayari kucheza kimataifa mwaka huu
 
Back
Top Bottom